Meteorite logoMeteorite
Back to videos

1wakorinto 13:1-3 MSAADA KWA WAJANE NA WASIO JIWEZA

1wakorinto 13:1-2 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika kama sina upendo nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao 2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu Mimi.

Suggested videos