Meteorite logoMeteorite
Back to videos

Video unavailable

This video can't be played right now.

Motra The Future - Hautaki ( Lyrics Video ) DIRTY VERSION

Produced By Kimambo Written & Perfomed By Motra The Future Connect With Motra The Future On: Instagram: @motra_the_future , Twitter: @MotraThe , Facebook: Motra The Future HAUTAKI LYRICS -------------------------------- Ndoto Zako zilikuwa Kuzaliwa Ulaya , Umezaliwa nchi hautaki baba haumtaki , na mama hautaki hata kaka na dada zako wote hauwataki maana wanamaisha ambao wewe hautaki mmezungukwa na majirani ambao hauwataki ghafla unaanza kukua lile life hautaki unajikuta unapelekwa shule ile hautaki unapata marafiki wale wenye hautaki walimu na masomo ni wale hautaki ile shule hautaki na walimu hautaki inakupea division ambazo wewe hautaki unapata hasira ambazo wewe hautaki ukiwaza kujiajiri unagundua hautaki kisha unaajiriwa kazi ambayo hautaki nayo inakulipa mshahara ambao hautaki kazini napo mbali kutembea hautaki unajikuta umeenda kununua gari hautaki kila siku ni matengenezo na kupaki linakurudisha nyuma kule kule hautaki unajiskia upweke na wewe usingle hautaki na hiyo sura mbaya unapata mpenzi hautaki ukijua ni one time life time hautaki unaskia kashika mimba na ndo kile hautaki unajikuta tu unafamilia hautaki wanaingilia kati wale ndugu hautaki wanakufungisha ndoa na yule dem hautaki mapenzi kedekede hata kama hautaki unatoa machozi na kulia hautaki damn kuishi Life Hautaki unaweza ukajiona Bitch vile life inakufuck ndo ile umezeeka na kustaafu hautaki unapata kiinua mgongo ambacho nacho hautaki unapata stress unaumwa magonjwa hautaki huna bima , unapelekwa hospitali hautaki unaanza poteza tumaini na ndo kitu hautaki ghafla anakuja Israel na wewe kufa Hautaki Unajikuta Unaokoka na ulikuwa hautaki Unamrudia Mungu nae Mungu Hakutaki sema anakusamehe maana ashakuona waki kwani amekupa uhai ulivyofala hautaki Familia wanakuhurumia wakiumia hautaki ndugu wakajikusanya wakuchangie hautaki faraja hautaki , Mapenzi hautaki Jappo hela Umepokea Na Ulisema Hautaki mwanao kakua akajitegemee wewe hautaki wakati akikaa tu nyumbani napo hautaki kumbe Mshenga alikuja aolewe Hautaki Eti Unataka Hela Kubwa Mahari Ndogo Hautaki Mtoto hadi akalia , na akilia hautaki unambembeleza anyamaze akicheka hautaki na kila anachotaka yeye akisema hautaki kubali unaroho mbaya ama nayo hautaki Hata nikiuliza ni Kwanini Kila kitu Hautaki We Mwenyewe haujui Ni Kwanini hautaki Tukikwambia Umelogwa kuskia hautaki na Hata Maswali Yangu Unadai Hautaki hautaki tu, kuongea hujiskii hautaki nimekwambia kuwa mchawi nao uchawi hauutaki Basi mimi naondoka nikikaa si hautaki Cha ajabu nakuaga hata hiyo bye hautaki he he oooouuuuyeeeeh Baba Ako Pone De Ting am Out

Suggested videos