Meteorite logoMeteorite
Back to videos

Video unavailable

This video can't be played right now.

Ukweli & KASHA - Dunia

https://Platoon.lnk.to/dunia LYRICS: VERSE 1 Ujana maji ya moto na huyawezi kuyapasha Utatafuta maana, tena sana Lakini akili haitawacha kukuwasha Hakuna anayejua cha kufanya, usidanganywe Sote twajaribu kuyajaza haya mianya PRE-CHORUS Oye maisha ni dakika Leo tupo, kesho si hakika Sema yote, piga picha Leo tupo, kesho si hakika CHORUS Dunia barafu Hatuna madau Anza kuogelea VERSE 2 Vunja mifupa kama bado meno ipo Usingoje siku za mwisho Cheza ngoma, jamani imba wimbo Usiogope hata siku za mwisho BRIDGE Jamani maisha ni magumu Maombi na saumu Nataka tu kuelea PRE-CHORUS Oye maisha ni dakika Leo tupo, kesho si hakika Sema yote, piga picha Leo tupo, kesho si hakika CHORUS Dunia barafu Hatuna madau Anza kuogelea

Suggested videos